Create printable voucher codes for a selected package.
Generated as XXXXXXXXXXXX, with no dashes.
HATUA 1: Fungua "device-mode" (RouterOS mpya, v7.17+)
Routers mpya za MikroTik zinakuja na 'fetch' na 'scheduler' zikiwa zimezimwa kwa usalama. Fungua Winbox > New Terminal, bandika hii, bonyeza Enter:
Kisha zima umeme wa router (unplug) kwa sekunde 10, uwashe tena (reboot ya kawaida haitoshi). Kama hii ni router ya zamani na inakataa amri hii, ruka hatua hii.
HATUA 2: Bandika script ya MARKAZ
Nenda System > Scripts > (+), jina: markaz-provision, bandika hii yote (haihitaji kubadilisha chochote):
Baada ya kubandika na ku-Apply: nenda System > Scheduler > (+), jina: markaz-provision-run, Interval: 00:00:30, On Event: markaz-provision.